Pole sana, tovuti ya icliniq inaweza kuwa msaada kwako kuna madaktari bingwa wa
Nilishawahi kutolewa kucha nzima lakini imerejea tenaHabari,
Pole na madhira. Kwa hapo ilipo ni ngumu kuinyanyua.
Labda afanyiwe kupunguzwa/kutoa hiyo iliyozama tayari bande zote mbili au atoe wote ndo atanyanyua wakati unaota ili ukucha upite juu.
Pia, kutokutumia viatu vinavyobana. Daktari wa kawaida au wa upasuaji anaweza kufanya hii kazi.
View attachment 2956314
Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini ambako ikianza kukua itatumbukia kwenye hyo nyama ya
Ahsante sana ngoja nitakwenda.Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini ambako ikianza kukua itatumbukia kwenye hyo nyama ya kidole
Nahisi Alipewa maelekezo na Dr Lukonge
Mkuu 1+1 = tuna pata 2. Huwezi jua uta ongeza kipi.Nahisi Alipewa maelekezo na Dr Lukonge
Kwahiyo umekuja kumtambia jamaa??Nilikuwa na tatizo kama lako utotoni, ila limeisha kabisa
Nakumbuka hospital walinikata huko pembeni vizuri na nilifundishwa jinsi ya kukata kucha na baada ya kufata maelekezo niliyopewa tatizo halikujirudia tena
Uko sahihi,shida inaanzia na jinsi unavyokata kucha zako,na ndio maana unasema tatizo limeanza muda si mrefu.Kucha ukiikata sana kwenda ndani huwa inabadili muelekeo,badala ya kukalia edge ya kidole inachimba kuanzia pale ilipoishia,angalia pia watu wenye tabia ya kula kucha za vidole,huwa zinabadilika kabisa ule mwenendo wake wa ukuaji...Nilikuwa na tatizo kama lako utotoni, ila limeisha kabisa
Nakumbuka hospital walinikata huko pembeni vizuri na nilifundishwa jinsi ya kukata kucha na baada ya kufata maelekezo niliyopewa tatizo halikujirudia tena
Ndio mkuu, kutojua jinsi ya kukata kucha vizuri ndio kunazalisha tatizo. Mi nilipata maelekezo nikiwa darasa la 3 na mpaka leo niko okayUko sahihi,shida inaanzia na jinsi unavyokata kucha zako,na ndio maana unasema tatizo limeanza muda si mrefu.Kucha ukiikata sana kwenda ndani huwa inabadili muelekeo,badala ya kukalia edge ya kidole inachimba kuanzia pale ilipoishia,angalia pia watu wenye tabia ya kula kucha za vidole,huwa zinabadilika kabisa ule mwenendo wake wa ukuaji...
Lilikuwa hivyohivyo kama lake. Vidole gumba vyote viwili ndio vilikuwa vimeathirika. Nilipelekwa kwa Dr Andrew, hii hospital ilikuwa mtaani kwetu, kwa wakazi wa kinondoni shamba hasa maeneo ya ada estate watakuwa wanaijua vizuri japo sijui kama bado ipo mpaka leo hii. Nilikuwa bado mtoto mkuu.Kwahiyo umekuja kumtambia jamaa??
Hospitali gani?
Unakataje hizo kucha?
Tatizo lako lilikua vipi na ulitibiwa vipi.?