Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kawaone wauzaji wa viatilifu, au maduka yauzayo pembejeo za kilimo. Pia jitahidi kuondoa takataka za kulundikwa karibu na nyumba kama mbao mabox na kupalilia majani.Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa napofikiria kuna watoto wapo hapa wamekuja likizo. naomba kwenye mwenye msaada.
Maana nilijaribu dudu kill naona hiyo inaua mbu tu na inzi kwa tandu na mende haina madhara maana nawaona bado wana zurura tu hapa home.
Chumvi robo kilo .natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Hawana sehemu maalum. Leo unamwona dining juz alionekana bedroom. Anatembea.Chumvi robo kilo .
Mafuta ya taa nusu lita
Sabuni aina yoyote (zile za jero).
Tengeneza mchanganyiko ndani ya chombo (itafaa ukitumia chupa za maji zile za ujazo wa lita moja)
Tikisa sawasawa huo mchanganyiko kisha mwanga pahali wanapopendelea kujificha au ukiwaona wamwagie huo mchanganyiko na watakufa..
Wale waliojifocha watahama kwa maficho yao na kuikimbia kabisa nyumba yako
Hii ni home made na ni dawa inayoua wadudu wote wanaotambaa wakiwemo sisimizi na mchwa.... inaua hadi nyoka.
Hizo dawa za kununua dukani utapoteza hela yako tu na hutawaua.
Jaribu hii dawa ya kujitengenezea na utakuja kunishukuru.
Tumia ubongo kujua maficho yao..Hawana sehemu maalum. Leo unamwona dining juz alionekana bedroom. Anatembea.
Labda hujui dawa ya ku spray inafanyaje kazi.Tumia ubongo kujua maficho yao..
Wanapoingia ndani huwa wananjia ya kupita ili waingie ndani.
Umeuliza dawa nami nikakupatia.. unataka nikupe hata njia ya kuwasaka wanapojificha?
Hivi hiyo spray ulikuwa unawapulizia wakiwa wanapaa?
Tumia akili kujua wanajifichaga wapi.
Labda hujui dawa ya ku spray inafanyaje kazi.
Labda hujui dawa ya ku spray inafanyaje kazi.
Una umri gani dogo?Aliyeshauri mchanganyiko wa mafuta, chumvi na sabuni ameeleweka sana. Kama bado humuelewi nakushauri uchome na kuuunguza hiyo nyumba na takataka zote za nje wadudu wote na kila kitu kitaungua halafu anza kujenga upya.
Hawa wadudu wamekuwa tishio kwenye majumba. Na hasa kipindi hiki cha mvua. Juzi tu nimekaa siting room kakatiza faster nikachukua ndala nikamuua. Huwa najiuliza wanaingilia wap? Maana milango yote tunafunga. Wanaweza kukutia aibu ukiwa na mgeni wako siting room mara anakatiza😅😅Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa napofikiria kuna watoto wapo hapa wamekuja likizo. naomba kwenye mwenye msaada.
Maana nilijaribu dudu kill naona hiyo inaua mbu tu na inzi kwa tandu na mende haina madhara maana nawaona bado wana zurura tu hapa home.
Kabisa.nadhani wanakimbia mvua nje. Nimeambiwa na nyoka pia wakati huu hukimbilia ndani.Hawa wadudu wamekuwa tishio kwenye majumba. Na hasa kipindi hiki cha mvua. Juzi tu nimekaa siting room kakatiza faster nikachukua ndala nikamuua. Huwa najiuliza wanaingilia wap? Maana milango yote tunafunga. Wanaweza kukutia aibu ukiwa na mgeni wako siting room mara anakatiza😅😅
Sabuni ya unga au kipandeChumvi robo kilo .
Mafuta ya taa nusu lita
Sabuni aina yoyote (zile za jero).
Tengeneza mchanganyiko ndani ya chombo (itafaa ukitumia chupa za maji zile za ujazo wa lita moja)
Tikisa sawasawa huo mchanganyiko kisha mwanga pahali wanapopendelea kujificha au ukiwaona wamwagie huo mchanganyiko na watakufa..
Wale waliojifocha watahama kwa maficho yao na kuikimbia kabisa nyumba yako
Hii ni home made na ni dawa inayoua wadudu wote wanaotambaa wakiwemo sisimizi na mchwa.... inaua hadi nyoka.
Hizo dawa za kununua dukani utapoteza hela yako tu na hutawaua.
Jaribu hii dawa ya kujitengenezea na utakuja kunishukuru.
Nina mambo mengi ya kujifunza kuyafanya hili si mojawapo.Hao viumbe si wabaya kama hauna ubaya nao. Jifunze kuishi nao wana manufaa sana kwako ingawa hufahamu. Kwa ufupi tunaishi na nge, tandu, nyoka, matandabui kwa zaidi ya miaka Saba sasa hatujawahi kuwaua na wala wao kutudhuru wanafamilia.
Sawa mkuu, nimekuelewa mno.Nina mambo mengi ya kujifunza kuyafanya hili si mojawapo.
Sabuni yoyote, unaweza pata paketi moja ya sabuni ya unga (zile paketi ndogo za jero kama sikosei) ama sabuni kipande, zote hizo zinakazi moja.Sabuni ya unga au kipande
Nina umri wa miaka 12, mkuu, sema naKusikilizaUna umri gani dogo?