Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hau wadudu wanapenda sehemu zenye unyevunyevu na giza, hakikisha unakausha bafu, choo na karo, hiyo ndiyo dawa safi.Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa napofikiria kuna watoto wapo hapa wamekuja likizo. naomba kwenye mwenye msaada.
Maana nilijaribu dudu kill naona hiyo inaua mbu tu na inzi kwa tandu na mende haina madhara maana nawaona bado wana zurura tu hapa home.
Hawa madogo usipokuwa mkali wanadhani humu ni FBmuomba ushauri mkali balaaa