Natafuta dawa kwa ajili ya Nge na Tandu

Watafute wale machinga wanauzaga dawa za kuua mende miongon mwa zile dawa zipo za kuua nge na tandu au nenda maduka ya mifugo kuna zile dawa za unga za kuua utitiri wa kuku miongon mwao zipo za kuua nge na tandu
 
Hau wadudu wanapenda sehemu zenye unyevunyevu na giza, hakikisha unakausha bafu, choo na karo, hiyo ndiyo dawa safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…