Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Pole sana!
Ni bora ukafika hospital ili daktari akuone na kuviona hivyo vipele/michubuko na akupatie dawa sahihi.

Tahadhari: hapa mtandaoni unaweza kushauriwa utumie dawa fulani lakini isiwe sahihi kwa tatizo/hali yako.

Pole sana!
 
kumbe hii kitu inawadhuru namna hii? Mwogopeni Mungu na Mungu awasaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…