JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 483
Wadau mgomo wa usafiri umenichosha leo nimepoteza dili la mil 10,sasa natafuta mtu mwenye gari anashida anataka kuliuza mm nanunua ila iwe chini ya mil 2.5 nawakilisha kwenu ambaye yupo tayari ani pm