Natafuta gari lolote ili mradi la chini ya million 2.5 mgomo umenichosha

Natafuta gari lolote ili mradi la chini ya million 2.5 mgomo umenichosha

Watu wanasumbuliwa na kutokujua. Kuna chaser nzuri sana niliinunua muda mrefu milioni tatu tena kwa insalments kama tano hivi nikaibadilisha starter (50,000/-) kwa wanaochinja na compressor ya AC (120,000/-) ina miaka mitano sasa na nikiwa na safari ndefu hiyo ndio chombo yangu. Ukikosa gari kwa 2.5 huna bahati
 
Katika maisha yangu nimetumia gari mbili tofauti, gari ya kwanza nilinunua 2.6m na gari ya pili nikanunua 2.3m tena sikuwahi kwenda kwa fundi zaidi ya kuweka mafuta, oil na maji tu kwahivyo mtu akisema kuwa hauwezi kupata gar kwa 2.5m ni mpumbavu na anataka kuleta ligi humu wakat tumeishatembelea gari za 2.5m bila matatizo, acheni ubishi na ujuaji na acheni kukatisha watu tamaa humu ndani wanaotafuta magari ya bei rahis!
 
Si wote wenye uwezo wa kuingia show room.
na mtu mwenye akili timamu ya utafutaji hawezi kuweka
more than 7m on the road.(labda ni limbukeni wa magari)
au kutafuta sifa,mashindano n.k.
millioni 5 shuka chini ndio akili nzuri ya ku invest kwenye motokari.
Gari dawa yake ni service tu.
Kuna sehemu magari ya toka 1930,40's,50's,60'sna 70's bado yanafanya kazi uzuuuri.
nakupeni mifano.
Iringa... Roka Taxi---Peugeot 404 inadunda barabarani mpaka leo.(ina zidi ya miaka 50 on the road)
Mwanza...Tanganyika bus wanamiliki Royle royce ina umri sawa na jina Tanzania.
Moshi...Thame trader ni aina ya malori yapo zaidi ya 5 yanabeba magogo,kabla ya uhuru mpaka leo.
Pia kuna Land rover zinapanda milima ya Tela zipo toka enzi ya Mkoloni.
Arusha ...peogeot 403 lipo maeneo ya kijenge ni pick up linadunda mpaka leo ni gari ya miaka ya 40's
Tabora...Ford anglia ya mzee mmoja bonge bonge anakaa mitaa ya bachu na cheyo.
Consolata sisters Iringa ...wana benz ya miaka ya sitini macho panzi ni kama mpya,pia wana peugeot 404 pick up wameijengea bodi.
Hii yote nataka nimfundisheni kuhusu gari unaweza lifufua likawa jipya ukalitunza likadumu daima.
Kuna siki Nzalendo akivuna korosho zake anashuka nondo za maana.
Heshima kwako mkuu.Nimejifunza kitu
Ubarikiwe.
 
Katika maisha yangu nimetumia gari mbili tofauti, gari ya kwanza nilinunua 2.6m na gari ya pili nikanunua 2.3m tena sikuwahi kwenda kwa fundi zaidi ya kuweka mafuta, oil na maji tu kwahivyo mtu akisema kuwa hauwezi kupata gar kwa 2.5m ni mpumbavu na anataka kuleta ligi humu wakat tumeishatembelea gari za 2.5m bila matatizo, acheni ubishi na ujuaji na acheni kukatisha watu tamaa humu ndani wanaotafuta magari ya bei rahis!
Ahh Frank upoo?nilijua uzi kama huu huwezi kukosa.
Hembi nitafutie Carry ya 3m hapo.Taa za pembe.Niongezee.
Nataka nijaribu na ule utaratibu wako
 
Mkuu si Vibaya kulumbana
manake hapa tuko kwa ajili ya kusaidiana.
kwa kifupi sana.
Ilala Amana kuna gari safi kabisa kwa bei hiyo zinatembea.
Gari si issue mkuu
ila ukienda kichwa mkuki lazima ulie.

Nimeshawahi kuyakuta magari ya hiyo bei hapo Amana ila yalikuwa yanakatisha sana tamaa maana yalikuwa yamechoka sana nilikuta Corolla na Mark II balloon zimechooooka mpaka basi sasa ukiniambia ni gari safi nashangaa sana labda kwa vigezo vyako.
 
Magari ya hiyo bei yapo sana tu na Mimi nimeshayauza na niliowauzia wote hakuna hata mmoja alienilalamikia, utapata tu mkuu
 
Magari ya hiyo bei yapo sana tu na Mimi nimeshayauza na niliowauzia wote hakuna hata mmoja alienilalamikia, utapata tu mkuu

Kweli kabisa wakati sahvi Cresta balloon unapata kwa 2mln
 
Gari zipo mkuu kuna msela wangu anauzaga nkiskia anazo takutafuta
 
Mkuu upo serious?. Mi nayapenda sana hayo yaan sijui kwann. Hvi kweli yanapatikan?
Kama unakwenda Gongo la mboto
Baada ya kupita Airport
Upande wa kulia kuna garage inahusika na
Biashara ya hizo VW beetle...kwa pale
ziko mbili kama show
ila wanazo za kutosha.
Fundi mkuu ni mpare hamtapishaana lugha.
Utapata tu mkuu
Usihofu.
kwa
 
Watu wanasumbuliwa na kutokujua. Kuna chaser nzuri saina niliinunua muda mrefu milioni tatu tena kwa insalments kama tano hivi nikaibadilisha starter (50,000/-) kwa wanaochinja na compressor ya AC (120,000/-) ina miaka mitano sasa na nikiwa na safari ndefu hiyo ndio chombo yangu. Ukikosa gari kwa 2.5 huna bahati
p

niambie chesa cc 1800 linakulaje fuel.naka nilichukue
 
mi ninayo corola ae10 kama upo nicheki kwa namba hii 0754288065
 
p

niambie chesa cc 1800 linakulaje fuel.naka nilichukue

Haya magari mengi ni ya zamani so inategemea umelikuta na hali gani. Ukilikuta na engine nzuri utaenjoy mkuu. Mimi nasafiri 600km, nikiweka full tank ambayo inaingiza kama lita 60 hivi, nafika na mafuta ya kupigia misele hata siku tatu. Nafikiri huwa natumia lita 48 hivi.

Hiyo migari ukiiweka vizuri utalipenda aisee nashindwa tu kuweka picha hapa. Mi nimeweka Tyre 17R/235 na rim kali limekaa vizuri sana. Ila usisahau kuweka sawa suspension ma ball joint, tie rod end, rack end, shock up nzuri linageuka verossa. Japo kama unaishi mjini unakuwa na jingine la kwenda nalo bar teh teh..
 
2.5m nunua boxer pikipiki af deal za 10m gari 2.5 acha uongo.
 
Back
Top Bottom