Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Wazungu wanasema "operating costs", mfano itakulazimu ununue vipuri vya maeneo mbali mbali ya ilo gari, hata injini itakuwa imetembea kilometa nyingi kwa hiyo itapunguza ufanisi wake kwenye mwendokasi na pia kwenye ulaji wa mafuta, kuzima zima hata ikinyeshewa na mvua ni kawaida.
Km kuna gari inayozima kwa sababu ya kunyeshewa ni balaa
