JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 483
mkuu gari utapatawadau mgomo wa usafiri umenichosha leo nimepoteza dili la mil 10,sasa natafuta mtu mwenye gari anashida anataka kuliuza mm nanunua ila iwe chini ya mil 2.5 nawakilisha kwenu ambaye yupo tayari ani pm
tufafanulie tafadhali.hiyo ya milioni 2.5 itakuliza kwenye gharama za uendeshaji, maana itakuwa imechoka.
usimkatishe tamaa gari zipo nyingi sana kwa bei hiyo.kweli ubaunsa sio utajiri.jitu la miraba minne hata bodaboda inakushinda.
Gari ya 2.5mil ni gari mbovu na imechoks sana haitakufaa.
Nakushauri nunua bodaboda kwa hela hiyo.
Ukitaka gari panda walau mpaka 6mil kidogo utapata gari ambayo sio mbovu.
tufafanulie tafadhali.
ni vyema mtu kujistahi kama unashindwa ku stahi wengine.nunua bajaj used
ufumbuzi wa hicho unachokizungumziawazungu wanasema "operating costs", mfano itakulazimu ununue vipuri vya maeneo mbali mbali ya ilo gari, hata injini itakuwa imetembea kilometa nyingi kwa hiyo itapunguza ufanisi wake kwenye mwendokasi na pia kwenye ulaji wa mafuta, kuzima zima hata ikinyeshewa na mvua ni kawaida.
mahesabu ya nini tena maii?haupo serious halafu huna mahesabu ya maisha chalii.. Unakurupuka tu kutamka hela
ipo maeneo ya banana kama unakwenda gomz upande wa kulia unajichagulia tu.zipo za kutosha.mkuu nakupatia vw beetle
made in germany.
Gari ni chuma mtupu.''chuma ya mjerumani.''
mahesabu ya kupata milion kumimahesabu ya nini tena maii?
Mtu anataka gari na hela ndiyo hiyo.