Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Wazungu wanasema "operating costs", mfano itakulazimu ununue vipuri vya maeneo mbali mbali ya ilo gari, hata injini itakuwa imetembea kilometa nyingi kwa hiyo itapunguza ufanisi wake kwenye mwendokasi na pia kwenye ulaji wa mafuta, kuzima zima hata ikinyeshewa na mvua ni kawaida.
mahesabu ya kupata milion kumi
mkuu nakupatia vw beetle
made in germany.
Gari ni chuma mtupu.''chuma ya mjerumani.''
ndiyo nimepata na mshtuko pia mimi hapaAnatudanganya hapa tu. Deal la milion 10 ushindwe kuchukua bodaboda?
Anatudanganya hapa tu. Deal la milion 10 ushindwe kuchukua bodaboda?
shetani wake hataki hela.mahesabu ya kupata milion kumi
NAAUM SHEHE NI UIMARA YAANI MTU ATAKAE NUNUA ISTHadi tyre za chuma, vioo vya chuma, sterling ya chuma, taa za chuma, yaani gari ni chuma tupu!:sly:
ana bahati mbaya aisee,... shetani wake mbaya sana lohshetani wake hataki hela.
haupo serious halafu huna mahesabu ya maisha chalii.. unakurupuka tu kutamka hela
atakuwa ana mkataba na fundi garageNimeishia kushangaa tu mie, gari ya miguu 4 mil 2.5 haoni kama ni hatari hata kwa afya yake. mmmh!
atakuwa ana mkataba na fundi garage
Itabidi awe na gerage nyumbani kwake kama kapanga sijui itakuwaje maana kila siku kukokota atatoa wapi pesa za kukokotea???
Hakuna gari ya 2.5mufumbuzi wa hicho unachokizungumzia
unafunga kitu kinaitwa ''liner kit.''
labda kama una jingine.
Mkuu si Vibaya kulumbanaHakuna gari ya 2.5m
sanasana ni kumuingiza mkenge mwenzio
hiyo linner-Kit ni bei gani
km screen ni 120,000
tyre na ream @200,000/ x 5 sawa na 1,000,000/=
bora JITU LA MIRABA MINNE angalau uingie Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
km gari hii utaipenda uingie hapa
https://www.jamiiforums.com/matanga...-gari-nina-2-500-000-=-tshs.html#post12066825
Zipo Toyota cresta (baloon) sahvi 2.5 hadi 2 mln unapata mtu, huyo anaye sema kwa bei hyo hupati gari ni fiksiufumbuzi wa hicho unachokizungumzia
unafunga kitu kinaitwa ''liner kit.''
labda kama una jingine.
Kula like za kutosha mkuu.Zipo Toyota cresta (baloon) sahvi 2.5 hadi 2 mln unapata mtu, huyo anaye sema kwa bei hyo hupati gari ni fiksi