Natafuta Gari used Missubish Rosa au Nissan Civilian kwa ajiri ya biashara ya daladala

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
 
Niko hapa hewani nikisubiria mwongozo kutoka kwa watalaam na wazoefu pia
 
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
Wajasiramali wa JF karibuni
 
Huwezi pata Rosa iliyosimama kwa bajeti yako hiyo, lazima tu ushikishwe mkweche spana mkononi na hapo ndo mwanzo wa kuanza kuamini ushirikina!, ukitaka ufaidi biashara ya vyuma vya moto kuwa smart kwa kununua gari mpya au yenye low mileage na ikisharudisha pesa iuze ununue nyingine hiyo iwe ndo faida yako, pia kuwa makini kwenye service ifanyike kwa wakati usifuge magonjwa kwenye gari!.
 
Ushauri mzuri na makini asante sana

Used bongo ni kama ucheza biko au 3mzuka yaani uweke 1000 upate 10m yani apo bahati na nasibu wawe upande wako ndio utashinda na ndivyo ilivyo kwenye kupata chombo cha moto kilicho tumika nje na ndani ya nchi kilicho na ubora,huakika kwa garama ndogo alafu kije kua bora kwako wewe (kumbuka wabongo hua tunapenda kuuza magar pale yanapoanza kusumbua)
 
Uwe makini tu unaponunua used ya hapa kwetu
Basi ikiwezekana niachane na huu mpango kwanza, nilikuwa najipa Imani kwamba napata hiyo hiyo ya kuunga unga niipeleke Gereji ya kueleweka
Dereva nani kwanza?
Kama ni wewe unaweza kununua used, ila kama unanunua used la bongo tena ukampe dereva mwingine kuna 85% ya kupata maumivu
Duuh kwani madereva wananipiga nyundo au anaendesha barabarani kama wengine
 
Used bongo ni kama ucheza biko au 3mzuka yaani uweke 1000 upate 10m yani apo bahati na nasibu wawe upande wako ndio utashinda na ndivyo ilivyo kwenye kupata chombo cha moto kilicho tumika nje na ndani ya nchi kilicho na ubora,huakika kwa garama ndogo alafu kije kua bora kwako wewe (kumbuka wabongo hua tunapenda kuuza magar pale yanapoanza kusumbua)
Kinachonisshangaza kwenye hizi comment ni kuwa Kila siku humu watu wanasema Nunua gari Mpya Anza kazi ikishafanya kazi miaka mwili unajua ununue nyingine. Sasa mtu anamuuzia Nani kama kila mtu anasema Used bongo ni hovyo?
 
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
Hii biashara imewafanikisha wengi,,,kitu muhimu ni ufuatiliaji tu,,,kama huna muda weka ngelewe awe anakupa report on daily basis,,fuatilia hasa tuvitu tudogo tudogo ambato hatuna maana ..kwa mfano kagua betri,,kagua namba za tairi...halafu mapato yako ya siku kamwe usitumie zaidi ya 10%.
 
Apa bongo 20% tu ya wamiliki wa magar ya biashara au binafsi huuza tu kwasababu anamaden mengi au anataka auze aongezee apata aina nyinginge yaani awe updated na 80% ya wamiliki wa magar huuza kwasababu gari imechoka sana,inamatatizo ya mara kwa mara spea kua za garama kubwa na azipatikan kiwepesi na kiufupi wanauza ili chuma lisije mfia mikononi kwaiyo ndugu kama unataka kupata USED bongo unatakiwa kuja ayo mambo maana wabongo wakikupa fulsa ya uchumi ujue wewe ndio fulsa yenyewe
 
Hii biashara imewafanikisha wengi,,,kitu muhimu ni ufuatiliaji tu,,,kama huna muda weka ngelewe awe anakupa report on daily basis,,fuatilia hasa tuvitu tudogo tudogo ambato hatuna maana ..kwa mfano kagua betri,,kagua namba za tairi...halafu mapato yako ya siku kamwe usitumie zaidi ya 10%.
Asante Mkuu, Ngelewe ni kitu gani
 
Back
Top Bottom