Natafuta Gari used Missubish Rosa au Nissan Civilian kwa ajiri ya biashara ya daladala

Apa bongo 20% tu ya wamiliki wa magar ya biashara au binafsi huuza tu kwasababu anamaden mengi au anataka auze aongezee apata aina nyinginge yaani awe updated na 80% ya wamiliki wa magar huuza kwasababu gari imechoka sana,inamatatizo ya mara kwa mara spea kua za garama kubwa na azipatikan kiwepesi na kiufupi wanauza ili chuma lisije mfia mikononi kwaiyo ndugu kama unataka kupata USED bongo unatakiwa kuja ayo mambo maana wabongo wakikupa fulsa ya uchumi ujue wewe ndio fulsa yenyewe
Huwa wanamuuzia Nani? Maana inaonekana kila mtu anazikimbia hizi Used Bongo
 
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
Kuja inbox tuongee then tutaweka hapa kwa faida wengi
 
Apa bongo 20% tu ya wamiliki wa magar ya biashara au binafsi huuza tu kwasababu anamaden mengi au anataka auze aongezee apata aina nyinginge yaani awe updated na 80% ya wamiliki wa magar huuza kwasababu gari imechoka sana,inamatatizo ya mara kwa mara spea kua za garama kubwa na azipatikan kiwepesi na kiufupi wanauza ili chuma lisije mfia mikononi kwaiyo ndugu kama unataka kupata USED bongo unatakiwa kuja ayo mambo maana wabongo wakikupa fulsa ya uchumi ujue wewe ndio fulsa yenyewe
Aaah wapi,,,
 
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
Ushapata gari? Kuna jamaa anayo inatembea bunju makumbusho
 
Gari la biashara la mkononi hata kama halitakuwa na shida nyingi ila utakaowapa kusimamia ndiyo watakuwa wanakupiga kwa kukueleza matatizo kila siku.

Kama usimamizi unaaminika au ni wewe mwenyewe ni sawa.

NB:Magari yaliyochoka yananunuliwa kufanywa school buses,hakuna mikiki ya siku nzima fuatilia vishule vingi ni namba A,B,C!!
 
Kuja inbox tuongee then tutaweka hapa kwa faida wengi
Mkuu tuanze na details za gari kwanza then baadae tutaenda kwenye serious talk

Mfano; Gari aina gani, namba zake, umetumika miaka mingapi, kama imewahi kuwa na changamoto najua hizi haziepukiki, haya ni maswala ya jumla jumla tuwe wa wazi
 
Magari mengi ni number D...ambayo yametumika miaka zaidi 8 ...wanauza kati 15m to 25m....ikowa number E inafika 30m hadi 40m....
Nissan Civilian ...Coaster na Rosa ...ukipata unabadili vitu vichache na ww unadema dema nayo miaka 5 hivi.....ukiwa lucky inakupa mengine 2 ya 22m each .....nimewapa code ....kuna yard moja .....Temeke ukienda utakuta kibao zimejaa zinasubiri watu kama nyie....nadhani
 
Kinachonisshangaza kwenye hizi comment ni kuwa Kila siku humu watu wanasema Nunua gari Mpya Anza kazi ikishafanya kazi miaka mwili unajua ununue nyingine. Sasa mtu anamuuzia Nani kama kila mtu anasema Used bongo ni hovyo?
za used bongo au iliyochoka huwa wananunua watu wa huko vijijini ambo wengi ni mafundi wenyewe au anavifaaa vyake vya kutenegenezea na vijana wake 24/7
 
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.

Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..

Tuwekane Sawa hapa, kuelekezana na kupeana ushauri, uko huru kunikosoa kwenye wazo hili.

Bajeti yangu ni 15M hadi 20M
Kwa bajeti hiyo utapata gari, hasa Nissan Civilian (TD42) na Toyota Coaster (1HZ) na Mitsubishi Rosa (4D33/4D35/4M50) namba C au D. Muhimu ni kuzingatia yafuatayo:
1. Ukipata gari kwa bajeti ya 20m weka pembeni 5-6m kwa ajili ya service kwa sababu ya kujihakikishia ubora wa gari hasa miezi ya mwanzo.
2. Ondoa matarajio ya kupata faida miezi 6-12 ya mwanzo. Tumia hicho kipindi kusoma mzuunguko wa ruti husika, mwenendo wa service pamoja na madereva wa gari.
3. Tembelea sana stendi za daladala upate ABC's za tabia za madereva na makondakta pamoja na mzunguko wa biashara upande wa watendaji.
4. Hakikisha unakagua gari mara kwa mara kuepuka uhuni wa gari kutokufanyiwa service kwa wakati au kupuuzia matengenezo ya bodi kutokana na prukushani za jiji letu.

Nimejaribu kuelezea machache ila fanya tafiti zaidi kulingana na mahitaji/maono uliyo nayo juu ya hii biashara.
 
Mkuu nakushukuru Sana kwa mwongozo huu
 
Used bongo ni kama ucheza biko au 3mzuka yaani uweke 1000 upate 10m yani apo bahati na nasibu wawe upande wako ndio utashinda na ndivyo ilivyo kwenye kupata chombo cha moto kilicho tumika nje na ndani ya nchi kilicho na ubora,huakika kwa garama ndogo alafu kije kua bora kwako wewe (kumbuka wabongo hua tunapenda kuuza magar pale yanapoanza kusumbua)
Uko sahihi ni kujilipua Tu
 
Back
Top Bottom