Kama unafundi muaminifu itakuwa vizuri. Ukichukua unafanya marekebisho ya roof,seat na floor.
Kwenye engine daladala inatosha sana 13b au 14b. Fundi atakagua kama body chini ipo vizuri( kuna daladala za route ya chanika,pugu,kitunda, mvuti huwa chini zimekata sana body na kuungwa ) kwenye spring kawaida zinarekebishika.
Engine inabidi mcheki kama gari iko na power,cylinder head kama ipo vizuri, block ipo kwenye hali gani. Hapo ukiridhia hivyo hiyo gari una uhakika wa kufanya nayo kazi miaka 5 mpaka 8