Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Hao inaonekana wanasikiliza habari za vilingeni. Xtrail ni gari nzuri sana na haina shida yoyote. Ni gari za wagumu tu hizo.Sababu 3 za kubwela mpaka mababu ni zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao inaonekana wanasikiliza habari za vilingeni. Xtrail ni gari nzuri sana na haina shida yoyote. Ni gari za wagumu tu hizo.Sababu 3 za kubwela mpaka mababu ni zipi?
Kwa bongo zitakuwa hoiNINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Peleka Shamba hiyo Hela au Kaiwekeze kwa wale Jamaa wanaotangazwa na yule Mnafiki wa Channel Ten upige Hela ila katika Gari kwa hiyo Hela utalipata ambalo Bovu ( Mkangafu ) ambalo kila Wiki litakugharimu ulipeleke Gereji kwa Matengenezo.NINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Ulinunua 4m?Acheni kumtisha kwani Nissan Xtrail zina changamoto gani? Mbona mi ninayo mwaka wa 7 sasa tena ile ya 2005 na haina shida yoyote?
NINA 4,000,000
NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Ok, nimekuelewa issue sio brand. Issue ni uzima wa gari. Poa mkuu.Ulinunua 4m?
Kitu kizima na chenye thamani utauzaje 4m?
Sitaki kulima nataka gariPeleka Shamba hiyo Hela au Kaiwekeze kwa wale Jamaa wanaotangazwa na yule Mnafiki wa Channel Ten upige Hela ila katika Gari kwa hiyo Hela utalipata ambalo Bovu ( Mkangafu ) ambalo kila Wiki litakugharimu ulipeleke Gereji kwa Matengenezo.
Jini mafuta lile....Nasikia brevis inakomba wese😂 sio mchezo