Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

Ngumu sana kupata mitandaoni, miaka hiyo wengi wako shuleni wanasoma maybe unaweza kupata mmoja mwenye sifa, lakini kuanzia 24 au 25 na kwenda juu wengi wamechakazwa vibaya, hivyo Kwa umri uliotaja unaweza kupata ambaye hajatumika sana hasa huko mitaani nk.
 
Habarini wapendwa,

Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.

Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
Wewe tafuta wa miaka 12 hadi 16 ndiyo saizi yako
 
Back
Top Bottom