Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

Niko dom nilitaka kuchukulia dar nijue Bei zake halisi nsije nkapigwa
Sawa mkuu, hiyo ni biashara nilikuwa nadili nayo pamoja na bodaboda KWa kuwanunulia wadau wa mikoani na kutumiwa kabla sijakwenda Dodoma. Bahati nzuri nimerudi tena dar KWa muda, so kama utakuwa serious kununua nikufanyie wepesi wa kucheki bei, lakini pia kujua bajeti Yako ikoje.
Binafsi huwa nashauri, kama bei ya manujuzi + gharama ya usafiri Iko juu kuzidi kununua huko ulipo,basi nashauri kumaliza jambo Hilo mahala ulipo. Utanambia ukiwa tayari nikufanyie kazi kabla sijarudi Dom.
 
Guta ipi ya kampuni Gani nzuri sinoray,wahoo
 
Pia ni vema kujua unataka guta ya kubinuka au lah! Kampuni zipo wanhoo, sinoray, kinglion, super tiger n.k na bei zinatofautiana bosi. Kiufupi Guta cc 250 bei yake inaanzia 6.5m hadi 7.8m kutegemeana na aina ya guta na kampuni na wauzaji au wakala.
 
Sinoray ndio nataka cc250 au cc300..Kuna mtu nimeona ktk page yake anauza Cc250~6.6m,alafu cc300~6.8m Sasa sjui kanipiga hiyo Bei au...mim nataka yakubinuka
 
Mkuu, sidhani kama kuna cc 300 labda kama ni toleo la juzi nikiwa nje ya game lakini nachojua kuna cc 175, 200 na 250. Kama cc 300 ipo,basi haiwezi kuwa bei hiyo, utakuwa zaidi,kama kama ni mchina aliyechoka.
 
Hivi Kuna wakala mkubwa wa sinoray
 
Back
Top Bottom