Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Habari wakuu.
Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi.
Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula chenye moto. Tatizo hili limekua linaninyima raha na kujiachia (social embarassment).
Nishapoteza sana pesa kwa ENTs bila mafanikio. Wajuzi msaada