Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Daktari Kama daktari [emoji2][emoji2]Kweli mganga hajigandi, wewe huko ulipo hakuna madaktari wenzako?
Nimeshangaa na kasoma kweli kweli ameshimdwa kwenda hata nchi za watu anataka kuomba msaada kwa waganga wa kienyej au🤣Daktari Kama daktari [emoji2][emoji2]
Pole sana hili tatizo kumbe wanalo wengiMimi nipo iringa hili tatizo la pua kuziba linanisumbua sana hadi sasa baridi au katika hali ya kawaida ni shida ikiwa baridi hata nikimeza loritidine ambayo niliambiwa kila siku nimeze tatizo linakuwa lipo pale pale na dawa niliambiwa niwe ninameza kila siku inaitwa loritidine na spray inaitwa frinase
Mimi huwa kuna wakati ikiwa katika mazingira ya baridi kiasi zinakua na ukavu sana. There must be a way out. Pole sana mkuu.Mimi nipo iringa hili tatizo la pua kuziba linanisumbua sana hadi sasa baridi au katika hali ya kawaida ni shida ikiwa baridi hata nikimeza loritidine ambayo niliambiwa kila siku nimeze tatizo linakuwa lipo pale pale na dawa niliambiwa niwe ninameza kila siku inaitwa loritidine na spray inaitwa frinase
Hahaha hatari sana.Kweli mganga hajigandi, wewe huko ulipo hakuna madaktari wenzako?
Huyo ni phdNimeshangaa na kasoma kweli kweli ameshimdwa kwenda hata nchi za watu anataka kuomba msaada kwa waganga wa kienyej au[emoji1787]
Yeye mwenyew hajui kama ana PHD😀Huyo ni phd
Nshomile
Ah bwana PhD wawe nazo wao tu watu wa jengo lile, mi nimeona wivu haiwezekani bwana. Nami nimejiongeza mwananzengo.Yeye mwenyew hajui kama ana PHD😀
Basi walivyoona kuwa wewe ni doctor wa kusomea wakakuloga😀 unajua watu wana wivu sana. Wenzako wanalia wakimenya vitunguu wewe unalia tu ukicheka😀🤣Ah bwana PhD wawe nazo wao tu watu wa jengo lile, mi nimeona wivu haiwezekani bwana. Nami nimejiongeza mwananzengo.