kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Utengule Coffee garden .. Pale Mbalizi kwa ndani kidogoWakuu,mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa ya Arusha na Moshi,na kama hakuna naomba kupata Lodge au Hotel ya bei nzuri nitakayoweza kumudu gharama zake kwa hiyo miezi minne?
Asante
Jilipue Kwenye Mjengo Wa Sugu
Bei gani mkuu?Kuna appartement zinapangingishwaga huko ziko full furnished unaingia na beg lako, kuna za uhindini, sabasaba na wapi sijui kule
Hivi zinapangishwa,naona zipo zipo tu?Hivi zile apartment pale kama unaenda sijui kwa mkemia mkuu au hospital ya mkoa zilishaisha?
Nenda brouma pale Uyole. Ni pazuri nikiwa na kazi zangu za kiofisi huwa naenda pale mra moja moja.
Pale nimeulizia bei wanazonipa ni za kitaliiNenda brouma pale Uyole. Ni pazuri nikiwa na kazi zangu za kiofisi huwa naenda pale mra moja moja.
Jichagulie hapo.
View attachment 2582629
Pale nimeulizia bei wanazonipa ni za kitalii
Mbona ni 25000 au sasa wamekuambia Tsh ngapi?Pale nimeulizia bei wanazonipa ni za kitalii
80kMbona ni 25000 au sasa wamekuambia Tsh ngapi?
Hivi zinapangishwa,naona zipo zipo tu?
Sure mkuu,naamini umenielewa vilivyoSafi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia
Safi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia
Yeah,nilivyopacheck pale huduma za msingi kuzipata ni issue sana.Kawacheki nimeulizia jamaa anasema ni apartment na zineshaisha na kuna watu wameanza kukaa hivo vyema ukachek sema pale huduma hadi uende njia ya B.O.T kwa juujuu huko ndio utapata mitaa ile sidhani labda pale mataa kwa nyuma kidogo