Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.

Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.

So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa ya Arusha na Moshi, na kama hakuna naomba kupata Lodge au Hotel ya bei nzuri nitakayoweza kumudu gharama zake kwa hiyo miezi minne?

Asante.
 
Wakuu,mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa ya Arusha na Moshi,na kama hakuna naomba kupata Lodge au Hotel ya bei nzuri nitakayoweza kumudu gharama zake kwa hiyo miezi minne?
Asante
Utengule Coffee garden .. Pale Mbalizi kwa ndani kidogo
 
Nadhani ziko opposite na lakeoil ya mitaa ile
 
Kuna appartement zinapangingishwaga huko ziko full furnished unaingia na beg lako, kuna za uhindini, sabasaba na wapi sijui kule
 
Nenda brouma pale Uyole. Ni pazuri nikiwa na kazi zangu za kiofisi huwa naenda pale mra moja moja.
 
Jichagulie hapo.
IMG_1883.jpg
 
Nenda brouma pale Uyole. Ni pazuri nikiwa na kazi zangu za kiofisi huwa naenda pale mra moja moja.

Hasa ile si ni hotel, maana kwenye safari zangu nisipolala southern basi nasogea pale na wote kwa sasa wameshusha bei hadi 20k unalala perday kwa kuanzia lakini bei za juu ni 50k
 
Safi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia
 
Hivi zinapangishwa,naona zipo zipo tu?

Kawacheki nimeulizia jamaa anasema ni apartment na zineshaisha na kuna watu wameanza kukaa hivo vyema ukachek sema pale huduma hadi uende njia ya B.O.T kwa juujuu huko ndio utapata mitaa ile sidhani labda pale mataa kwa nyuma kidogo
 
Safi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia
Sure mkuu,naamini umenielewa vilivyo
 
Safi kwa list, lakini mtoa maada anahitaji apartment na sio lodge au hotel, yaani sehemu ya makazi kama ilivo apartment za seabreez au mikocheni unaingia na begi tu ndani unakuta jiko, vyombo vya kupikia, majiko ya gesi au umeme, kitanda, godoro, yaani siku unatoka unakabidhi nyumba ya watu wakihakikisha unatoka kama ulivoingia

[emoji1666]
 
Kawacheki nimeulizia jamaa anasema ni apartment na zineshaisha na kuna watu wameanza kukaa hivo vyema ukachek sema pale huduma hadi uende njia ya B.O.T kwa juujuu huko ndio utapata mitaa ile sidhani labda pale mataa kwa nyuma kidogo
Yeah,nilivyopacheck pale huduma za msingi kuzipata ni issue sana.
 
Back
Top Bottom