Msosi Complex. Au
Misosi point.
Utamu Central
Kwayo ni mbaya ama sio mbaya?hii complex sijui nani aliwajaza waswahili. hata uwanjwa taifa ulitaka uitwe hivi
Kangi Restaurant
Wajumbe Food Classic
Barakoa Restaurant
Sanitizer Sweet Food
Mmmmh!!!!!Misosi classic au jaza tumbo twende..[emoji23][emoji28]
Afya ya mwili ,njoo ushibe,chakula bora au jenga afya kioskVyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko
Ukishachagua jina utupe mrejeshoVyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko
Kwayo ni mbaya ama sio mbaya?
MalostVyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko