Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Wajumbe Wa Kigamboni, Kawe nuksi sanaWajumbe Wa kigamboni
Wajumbe Wa Kigamboni, Kawe nuksi sanaWajumbe Wa kigamboni
Akili kubwa ya kutafuta 'mpunga' na kufungua ofisi unayo, lakini akili ndogo ya kubuni jina zuri la biashara yako huna!Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko
Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko
La pili linamfaaMisosi classic au jaza tumbo twende..í ½í¸í ½í¸
[emoji16] [emoji16]ya uswazi
-wali mende mchuzi funza cafe
-kama mbaya fungua yako cafe
-ukishiba ondoka cafe
-kama hatujui kupika kale kwa mkeo cafe
-hata ya mbwa ni nyama cafe
-tusifokeane cafe
-
mbele
-half london
-home sweet home
-west food
-dar delicious
-test the taste
- dar diet point
Atawakosa wateja Feminist mkuu.Uchebe Point.