Natafuta jina zuri kwa ajili ya ofisi yangu ya chakula

Nitashiba cafe
Nyumbani cafe
Ya Kwetu cafe
Jipange cafe
Jipimie cafe
Nyongoza cafe
 
Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko
Akili kubwa ya kutafuta 'mpunga' na kufungua ofisi unayo, lakini akili ndogo ya kubuni jina zuri la biashara yako huna!
Pole.
 
Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo
mfano.. masapta sapta
madikodiko

Mihogo roast ndio ikoje?
 
[emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…