Abti
Senior Member
- Feb 27, 2025
- 101
- 183
Habari za wakati huu Wana-JA.
Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo:
1.Assistant Community Development officer (CDO)
2.Administration Officer
3.Assistant HR
4.Store keeper (Whare house)
5.Ujasiriamali
Kwa uwezo wakazi hizo na zinazo amabatana na hizo na uwezo mzuri nipo tayari pia ni sharp learner.
Asanteni majukumu yananikimbiza sana.
Jinsia: Me
Umri: 28.
Current location: Dar es Salaam
Natanguliza shukrani za dhati.
Kazi ni kipimo cha utu.