Natafuta kazi au part time job Arusha

Natafuta kazi au part time job Arusha

lady Jay

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
529
Reaction score
655
Habari zenu,heri ya mwaka mpya wapendwa.

Mimi ni mdada mwenye degree ya accounting na nina uzoefu kwa zaidi ya 5 years.Niko vizuri sana kwenye tax compliance zote za TRA na za serikali kama NSSF,WCF, Service levy,etc.

Pamoja na hayo yote,niko detail oriented na pia nina uzoefu wa accounting systems mbalimbali zikiwemo tally ,scala,quickbooks,etc..

Kwa anayetafuta mhasibu wa kumuajiri au wa muda please naomba hiyo nafasi. Pia,siyo uhasibu tu bali hata kazi za administration,marketing or related fields naweza fanya. Nikipata kwa Arusha nitashukuru sana.

Kindly help a sister.Maisha wamekua magumu na majukumu ni mengi. Thank you
 
Back
Top Bottom