Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kuna wenzie wamesubiri na KUSUBIRI mpaka wamesubirisubiri TAMISEMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wenzie wamesubiri na KUSUBIRI mpaka wamesubirisubiri TAMISEMI
Ni kweli, maana MTU anakomenti bila kujua Kuwa tunatokea familia tofautiHilo sio kwako TU ni kwa kila Mhitimu wa Kaya Masikini
Laki mbili, mshahara wa beki tatu huo.Laki mbili kuendelea
AsanteLaki mbili, mshahara wa beki tatu huo.
Mbona malengo yako ni mafupi sanaa hata boda boda hupata zaidi ya hiyo, kwanini ulisoma sasa kama target yako ni 200,000 na kuendelea loh, CO mzima elimu haina maana.Laki mbili kuendelea
Kama Huna Cha ku comenti ni kheri ukae kimya, utaonekana hujielewiMbona malengo yako ni mafupi sanaa hata boda boda hupata zaidi ya hiyo, kwanini ulisoma sasa kama target yako ni 200,000 na kuendelea loh, CO mzima elimu haina maana.
Naona hujanielewa Dakitari......tafakari maandishi yangu ili ucomment tena.Kama Huna Cha ku comenti ni kheri ukae kimya, utaonekana hujielewi
Naona hujanielewa Dakitari......tafakari maandishi yangu ili ucomment tena.
Unaona laki 2 nayo hela?Laki mbili kuendelea
Hamjamuelewa kasema laki 2 ili apate ajira fasta atoke kwa shemeji yakeUnaona laki 2 nayo hela?