Natafuta kazi, clinical officer

Natafuta kazi, clinical officer

Laki mbili kuendelea
Mbona malengo yako ni mafupi sanaa hata boda boda hupata zaidi ya hiyo, kwanini ulisoma sasa kama target yako ni 200,000 na kuendelea loh, CO mzima elimu haina maana.
 
Mbona malengo yako ni mafupi sanaa hata boda boda hupata zaidi ya hiyo, kwanini ulisoma sasa kama target yako ni 200,000 na kuendelea loh, CO mzima elimu haina maana.
Kama Huna Cha ku comenti ni kheri ukae kimya, utaonekana hujielewi
 
Ila huu uzi unafurahisha sana,ingawaje kijana mwenzetu yupo kwenye kujitafuta
 
Back
Top Bottom