Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
Kuna vipaji vingi lakin hichi ni chaaina yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaaaa. Kwaiyo na ninyi Hamtaki Kupigwa Mizinga? Haaaaaaaaaaaaa.afie mbali huko maisha mengine haya
Wewe hutak kulelewaHaya walezi kazi kwenu
Acha mbwembwehuo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Mkuu, samahan kama nimekukwaza wewe binafsi ila pia kuna walionielewa. Mimi sioni tatizo kabisa kwenye hili swala langu.huo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Haya walezi kazi kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kuchemsha njegere aseee nimecheka kichiziKuna mshkaji wangu aliniambia "Castr wewe huwezi umarioo, yani demu akienda kazini we huku nyuma unachemsha njegere akirudi aziunge, ile nguo anayoipenda sana unaifua kesho aendee kazini, wewe unaweza?" Nikamjibu "Mh hayo yote kwa ajili ya kulelewa siamini kama kuna mwanaume anaweza".
Hatimaye nimekutana na uthibitisho kwamba inawezekana.
Kwa hizo kazi ulizojinadi unaweza mimi nashauri fanya mchakato wa kuomba kazi ya uhouse boy pia.
Mmmh nimeshtuka kidogo hata Mimi mwenyeweHaya Yote Yanatokea Mwaka Huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka Title tu sina Haja Na Kusoma Maelezo
Acha kujiendekeza mtoto wakiume.