Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mimi sijakudhihaki chief, nimeonesha tu ni jinsi gani unatakiwa kujitoa kama mwanaume ataamua kuishi kama wewe.Mkuu mm siogopi watu wanaodhihaki mambo ya watu Inaonyesha ni kiasi wasivyojiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijakudhihaki chief, nimeonesha tu ni jinsi gani unatakiwa kujitoa kama mwanaume ataamua kuishi kama wewe.Mkuu mm siogopi watu wanaodhihaki mambo ya watu Inaonyesha ni kiasi wasivyojiamini.
Namanisha angalia tutakufanya chakula cha usikuSioni kabisa uhusiano wa nilichokiandika na point zako...isitoshe nip jukwaa la MMU, sijui umefata nn
Mku mm sio mwanafunzi...hakuna mahali nimetaja mm n mwanafunzi. Kama nia yako ni kuchafua uzi wangu, endelea. Lakini kama una akili timamu, utafata ya kwako.Wameshatoka kwenye graduation [emoji310] huko sasa wa natafuta fursa kila namna njoo tu some 12345
Weka picha yako au omba kipindi live pale mawingu tv, uhojiwe ili kupanua wigo wa soko lako. Naona upo serious.Sitakutukana. Pia ungekuwa na mantiki sana kama ningepost kutafuta mpenzi kwenye jukwaa la Jokes au Siasa. Lakini unachokifunua hapo ni wivu tu na shida zako.
Ningejue ule wimbo Wa marioooo ningemuimbia. Pole kujitangaza shogaHaya walezi kazi kwenu
Bado hoja zetu n tofauti kabisa. Mimi swala langu nimeliandika kwa kirefu na nimeeleweka, kutokunielewa kwako sio tatizo kabisa.Mimi sijakudhihaki chief, nimeonesha tu ni jinsi gani unatakiwa kujitoa kama mwanaume ataamua kuishi kama wewe.
Wamekusikia unaowaambia...and also you nees to visit a Doctor.INGIA NA ID YAKO YA SIKU ZOTE, MWENYEWE UNAJIFICHA,UNAJUA KUWA NI JAMBO LA AIBU UNALOLIFANYA...WADADA WA JF MUOGOPENI HUYU KAMA UKOMA,ANGESEMA NINA MIPANGO NITAFANYA HIKI AU KILE TUKIWA PAMOJA,INSHORT HANA MIPANGO ENDELEVU, JIONGEZENI MUUMIE,
....nakupa mwanga....LOL....kazi inakufaa hii...Sijakuelewa. Yaani unanitukana, unanipa mwanga au unanikejeli?