King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nchi ina maajabu kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unahitaji shrink,huoni hata wanaume zako wanakushangaa,anyway pole.Wamekusikia unaowaambia...and also you nees to visit a Doctor.
Wacha nikujibu kistaarabu, labda utakua na aibu:Swala langu la ajira halitegemei huyo uliemtaja bali ufanisi wa kazi yangu, pili, sioni uhalisia wa ulichosema na uzi niliopost.Magu unawafanya vijana waelekee kubaya fungulia ajira izo km la mama ako
Ungetaka uhuru wako usingeweka mada yako hapa jukwaan ungetafuta huko mitaani kila mtu Ana uhuru wa kuchangia anachojisikia upooUnashtuka vipi wakati nimeandika jambo langu bila kutukana au kukashfu mtu tena ndani ya jukwaa husika!! Kwanini usiende kwenye mada zinazokuvutia kuliko kunishangaa mimi ambae hata sikujui??...mm na ww nani anaingilia uhuru wa mwingine?
Umemaliza?Dunia haishiwi maajabu aisee
Hv man umeshindwa kukomaa hata kuchanga zege,kuuza kahawa,au kuuza genge upate hata ya kula...mbona aibu kinoma
Mwanamke anaenda job ,we unaamka kufanya usafi,kupika nk
Akiludi na unafanya sex kwa uhuru kabisa..ah ah
Mimi mwanamkr nipo muongo nakosa uhuru kabisa
Kuwa shoga tuu,hamna namna na dalili hizoo
Kasikilize oldie moja "I ain't proud to beg".Bado hoja zetu n tofauti kabisa. Mimi swala langu nimeliandika kwa kirefu na nimeeleweka, kutokunielewa kwako sio tatizo kabisa.
Kushangaa wanakushangaa na wataendelea kushangaa, ni wanaume wa kweli wa hapa Jf,RESPONSIBLE MEN OF JAMII FORUMS! wanakushangaa. Mkuu pole sana labda huna options, nisije nikakuongezea machungu buree,bye.Mkuu, unataka kusema hakuna watu ambao wameshawahi kukushangaa???...hivi umekosa mambo ya kushangaa? na ni wanaume wapi unaowazangumzia
Mdau samahani nimequote tu hii ili kila member ajue kua hua wanashambulia upande siyo, marioo wanao huko huko mikoani mwao.Mkuu
mm sio wa Dar, na pia sio mvulana, n mwanaume. Asante