Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Yaaani Mariooooo kizazi cha nyoka. Mwanaume unalelelewa? Aibu kubwa
 
huo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Acha Maneno hayo, kuna wanawake wezio watachukua fursa.
 
Ingekuwa n tangazo, ningepost kwny jukwaa la Matangazo Madogo madogo..kwahyo kwasasa ww ndo hujielewi.
Sawa Mkuu unaejielewa,Endelea kutafuta Jimama ulikifikishe kileleni na Likulee katika kipindi hiki ambacho haujapata kazi,I hope ukishapata kazi utaacha biashara ya kufikisha majimama kileleni maana utakuwa unajiingizia kipato chako mwenyewe.
 
unataka kuwa house boy,marioo au mume au vyote??
 
We hautatoka kimaisha, utapoteza mda mwingi kwa wanawake. Tangu lini mwanamke akamtoa mwanaume kimaisha? Waone hivi jiulize wanafanya kazi je mishahara zao zinaendaga wapi? Wanahongwa sana je hizo hongo wanazifanyiaga nin. Je kwann mwanamke humtegemea mwanaume siku zote? Ukipata jibu utaacha wazo hasi la kuwategemea wanawake
 
Hahaaa Mkuu,jinsia yangu inakuhusu nini?eti 'ningekuwa mwanaume' kumbe unajua kuwa kuna wanaume?Sasa huoni unalofanya sio 'uanaume' au unajitoa fahamu tu?
Hizo fahamu 'unazosema' najitoa, ULIWAHI KUCHANGIA HATA MOJA?
 
Hii ni zaidi ya umarioo[emoji1] [emoji1]
Tangazo lipo fresh sana, tena lina cv na experience ya kutosha.
*kila la kheri mkuu katika safari yako
 
Back
Top Bottom