Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Wakuu,

Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira.

Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli ilifungwa hivyo tukarudi majumbani na bado nimeyumba sana. Hapo nyuma hali hii ilipojitokeza, kuna mama mmoja aliyekuwa anapendelea kuja kufanyiwa Massage alitokea kunipenda hadi akanihamishia kwake.

Kwakweli nilimpa experience ambayo ni adimu kuipata mtaani au kwa wapenzi wako maana mimi nina-apply na taaluma yangu kabisa tunapokuwa chumbani. Alikuwa ananiacha nyumbani, akirudi nyumba safi, nimeshafua, nimepika (nina Certificate ya Catering/Mapishi kabla ya kuhamia kwenye SPA).

Then namuandaa kisaikolojia (kama tunavyofanyiaga wateja wetu), namkanda na kumpa Masaji...basi alikuwa anafika kileleni si chini ya mara 3 hata kabla sijamwingilia, so wakati mwingine nikawa navunga tu maana kachoka, basi tunalala. Maybe asubuhi ndo naweza kumpasha kidogo.

Tuliachana kwa amani kabisa and under her own terms, alitaka nimuoe wakati age difference ilikuwa kubwa sana kwakweli.

Sasa nimekuja kutafuta Mwanamke ambaye atanichukua tuishi wakati mie naendelea kutuma maombi ya kazi, na hata nikipata Penzi letu litaendelea tu na kwasasa niko tayari kuoa (mahari ntajitahidi kutafuta nijilipie mwenyewe).

Nitakupa mahaba, nitatunza nyumba na tutaishi kawaida kabisa wala sitajiskia vibaya kwa lolote au kuhisi kama ninalelewa...kwa mtakao sema "wewe ni mwanaume, huo sio utamaduni wetu", kwakweli bakini tu na utamaduni wenu, naamini mwanamke anaweza kubadili maisha ya mtu.

Mie ni mcheshi, ni kijana mpambanaji na ninajiheshimu. Dada/Mama kama upo na ungehitaji kampani yangu basi niPM, tuongee, tukipendana, maisha yaendelee.

Thanks.

Huoni aibu????
 
Mkuu kufikishana kileleni hiyo si fursa kabisa? Nenda mlima Kilimanjaro kawafikishe watalii kileleni utajipatia pesa
Ukipata neno "Kilimanjaro" kwenya uzi wangu plez nitag. Otherwise wewe ni mzandiki mwingine tu.
 
Hizo fahamu 'unazosema' najitoa, ULIWAHI KUCHANGIA HATA MOJA?
Hahaaa wewe endelea kujivua nguo hadharani,,,unatwist comments za watu na kujaza upuuzi, uonekane uko serious kumbe upuuzi mtupu,na ninadhani unajua kabisa ni upuuzi
 
Hahaaa wewe endelea kujivua nguo hadharani,,,unatwist comments za watu na kujaza upuuzi, uonekane uko serious kumbe upuuzi mtupu,na ninadhani unajua kabisa ni upuuzi
Upuuzi ni wewe na maoni yako. Kuna mada nyingi sana za kuchangia JF, nakushangaa umening'ang'ania mimi
 
Ulelewe una nini hasa? Papuchi huna halafu unataka kulelewa, wenye papuchi wenyewe siku hizi tunawauliza wana kipi hasa tuwahonge. Hata kama papuchi zao zingekua na TV ndani tusingehangaika kuwahonga, maana matango yetu hayana macho.
Rudi tu kwa jimama lako ukalelewe...bladifulu kabisa wewe. Utatatuliwa sphincters hizo mtoto wa kiume halafu uwe unachuruzika urojo wa kinyesi...mbwambwafu wewe.
 
You are loosing it lol, let's see how this ends lol
I know you are challenging me kwasababu ya wivu, sio kwamba una roho mbaya. Na kuhusu the "Ending", it will be a happy ending maana nitampata tutakaependana. Na nitakuinbox mrejesho (nimekufollow ili nikukumbuke).
 
Ulelewe una nini hasa? Papuchi huna halafu unataka kulelewa, wenye papuchi wenyewe siku hizi tunawauliza wana kipi hasa tuwahonge. Hata kama papuchi zao zingekua na TV ndani tusingehangaika kuwahonga, maana matango yetu hayana macho.
Rudi tu kwa jimama lako ukalelewe...bladifulu kabisa wewe. Utatatuliwa sphincters hizo motto wa kiume halafu uwe unachuruzika kinyesi...mbwambwafu were.
Roga, tukana, wanga uwezavyo...ila ninachokijua n kwamba wewe sio baba wala mama yangu. Na sitakutukana.
 
ASANTE kwa kuwaelewesha. Yanii nimetaka kulia kwanini jambo hili linaonekana Negative wakati ni hali ya kawaida kibinadamu na kupendana ni wawili..sio watatu. Kwahyo najua nitapata mwanamke tutakae fanya nae maisha, matusi yao hayajaniathiri mimi au huyo ajae. Mungu nibariki.
Allah amesema kila mwanaume atakula kwa jasho lake na kila mwanamke atajifungua kwa uchungu, keep searching good luck
 
Yes niko hapa kuhakikisha hakuna mdada Mwana JF, anaingia mkenge Hahahaaaaaaa
Ungekuwa Mod ungenipiga Ban hadi mlangoni kwangu. Utakufa mapema sababh ya wivu. Pia kinadada huwapi pumzi, kwahyo subiri mrejesho.
 
I know you are challenging me kwasababu ya wivu, sio kwamba una roho mbaya. Na kuhusu the "Ending", it will be a happy ending maana nitampata tutakaependana. Na nitakuinbox mrejesho (nimekufollow ili nikukumbuke).
Kupendana my arse! Ingekua Kupendana usingetafuta mtu mwenye kipato, ungetafuta binti mmoja muanze wote maisha, mie nasubiri mrejesho aisee
 
Kupendana my arse! Ingekua Kupendana usingetafuta mtu mwenye kipato, ungetafuta binti mmoja muanze wote maisha, mie nasubiri mrejesho aisee
Kama huna upendo n ww na roho yako. But Love exists.
 
Ungekuwa Mod ungenipiga Ban hadi mlangoni kwangu. Utakufa mapema sababh ya wivu. Pia kinadada huwapi pumzi, kwahyo subiri mrejesho.
Huyo mwana dada atakayeshindwa kuainisha huu ni upendo ama kuchunwa in the name of love, shauri lake na yeye lol
 
Back
Top Bottom