Wooote mnaomshambulia IamHumble, mleta mada au ombi lake hapa ..., ni WAJINGA .. !
Natoa sababu za ujinga wenu . .
1. Mr Humble ni mwanaume anayetaka kupata ujira wake kwa kumhudumia mwanamke vizuri .., na pia mwanamke huyo apate raha zaidi ya kuwa mke...
Kuna kosa gani mwanamke kumlipa mume wake kama mwanamke huyo ana kipato cha kutosha .. ?!
Nawafahamu wanaume wanaowalipa wake zao mshahara kwa ajili ya huduma mama/mke anazotoa kwa familia ... Jee, kuna ubaya ktk hili.. ?
2. Mr Humble anaweza kufaa sana kuendesha Hotel, Mgahawa, Saloon, au biashara nyingine za Hospitality ...
Akipata mke mwenye nguvu na akili ya biashara ..., tayari hawa couples wataongeza sana kipato chao ... Wakati huo huo wife wake ata enjoy saaaana kufikishwa kileleni, kuwa pampered .., kupata watoto, kurembeshwa ...nk nk ...
Ni wanawake wangapi wana enjoy ndoa zao kwa kufikishwa kileleni, kuhudumiwa vizuri, kupikiwa na wapenzi wao au waume zao .. ? Yaani kweli wanawake hawataki huduma hizi nzuri hivi ..?! [emoji15]
Kuna wanawake wengi tuu wanawahudumia waume zao kifedha saana ..., lakini hawapati raha yoyote ya maana in return ..
Mwanamke atakayechukua fursa hii ..., na akiwa na akili ..., atamfaidi saaaana Iamhumble ...
Bahati mbaya sana wanawake wanaoweza kumwelewa huyu bwana ni wake za watu, na wanawake watu wazima ... Vitoto havitamwelewa . .
Msimtukane huyu bwana, ana hoja nzuri tuu . .