Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

HAHHAHAHAHAHAHAHAH,sasa kama upo tayari kuoa,fanya umrudie yule mama aliekuambia umuoe ukamtolea nje
Mkuu, tatizo lako ni nn? sijaomba ushauri kuhusu mahusiano yaliyopita.
 
Biashara matangazo sasa ndo hapo ukishindwa kumfikisha mtu kileleni utampelaka na jeki
Ukumbuke nimepost kwenye jukwaa sahihi, kama hauna intereste kwann usiende kujadili mijadala kwenye majukwaa mengine?
 
Mmmh nimeshtuka kidogo hata Mimi mwenyewe
Unashtuka vipi wakati nimeandika jambo langu bila kutukana au kukashfu mtu tena ndani ya jukwaa husika!! Kwanini usiende kwenye mada zinazokuvutia kuliko kunishangaa mimi ambae hata sikujui??...mm na ww nani anaingilia uhuru wa mwingine?
 
Ushauri tu kwako:
Huo usafiri utakao kuwa unatumia kumfikishia kileleni bora uufanye daladala kinyume na hapo utaliwa ule mtandao wa simu kwa hisani wa watu wa marekani.
Ongea yote, lakini wewe ndio una matatizo...nimekutag? kuna haja ya wewe kuzungumzia hitaji langu la mpenzi wakati sio wewe? heshima kitu cha bure
 
huo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Aiseeeeh mbona maneno ya ukatili mkubwa
 
Kizaz cha fesibuku
Kizaz cha nyoka
Kwel magu kabana
Kijana panua upaja.mkwiju waja
Jilegeze tu
 
Aiseeeeh mbona maneno ya ukatili mkubwa
Yaani hata mimi nashangaa hizi akili za watu wa aina hii. JF ni jukwaa huru naandika nachohitaji bila kumung'unya maneno, lkn kuna watu kazi yao kupinga na ubishi.
 
Wameshatoka kwenye graduation [emoji310] huko sasa wa natafuta fursa kila namna njoo tu some 12345
 
Jamani! Too bad sina hela ata ya kujilea mwenyewe! Ningekutafuta mkuu! Massage duuh! Raha ilioje!
 
Yaani hata mimi nashangaa hizi akili za watu wa aina hii. JF ni jukwaa huru naandika nachohitaji bila kumung'unya maneno, lkn kuna watu kazi yao kupinga na ubishi.
Hata hao wanaopinga wana hiyo haki ya kupinga kinachojadiliwa humu
 
Back
Top Bottom