Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Sidhani hata kama umenielewa hahaaa, huyo atakayekubeba kama mzoga ana kaziNa kiingereza kibovu hivi, bora tu ulale mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani hata kama umenielewa hahaaa, huyo atakayekubeba kama mzoga ana kaziNa kiingereza kibovu hivi, bora tu ulale mkuu.
Kutukana utukane wewe na bado utake kujibiwa kwa upole..kwani una nini??Alafu replies zako zimejaa dharau hata kama atakuepo aliyekua na nia hyo unafikiri atakuja? hapo ulipo huna tofauti na mwanamke anae lilia penzi so you must be calm lolote utaloambiwa usipanic wapo wengi sana humu wanakusilizia if you're serious
Ngoja nimuite granny cc: faizafoxy
Usiingize Mungu.Hata uniite Mfu, uzuri ni kwamba ww sio Mungu.
Asante kwa maoni. Ushauri wa bure: wanawake sio majiniMkuu umechelewa sana sababu wanawake wa siku hizi wamejanjaruka yaani ni kama yale Majini yanayovuta Bangi na kula Kitimoto. Hata uwamassage vipii mkimaliza mizinga bado ipo palepale! Utatekenya na pesa lazima utoe hahahaha...Sasa we tafuta hela tu.
Wiki ya tatu ananyang'anywa gari na kibao juuChanzo cha kuongezeka bwabwaz Tanzania,vijana kupenda kitonga,kama huyu dogo akikutana na magwiji anapewa gari na mafuta anajaziwa wiki ya kwanza,wiki ya pili watu wanatatua linda...
Me taka pesamchaga hutaki raha,we mwenyewe unataka pesa
Kuelewa nataka ila kulea hapana sitakiWewe hutak kulelewa