Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

wilson nisha

Member
Joined
Mar 13, 2020
Posts
27
Reaction score
21
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu.

ELIMU:
Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia.

UZOEFU;
nimefundisha kama mwalimu Wa kujitolea katika shule mbili tofauti mkoani Mbeya tangu mwaka 2017-mpaka sasa.
-nimefanya kazi kama volunteer pia na shirika la Raleigh international linalofadhiliwa na UK, makao yake yapo Morogoro
-kwasasa nasimamia shamba la parachichi mkoani Njombe

LENGO:
natafuta kazi ya kufundisha, sehemu yoyote hasa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nitawasilisha Wasifu, na nyaraka zingine itakapotokea nafasi ya kazi.

MAWASILIANO;
Namba za simu,
0676775220
0767361063
 
Serikali inamwaga ajira za ualimu kila siku kwa nn huombii?
 
Good
Mungu akutangulie upate hitaji lako ndugu.

I can feel your struggle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
 
Kulima heka shamba jipya sh. ngapi, kufyeja heka sh ngapi,kupanda mahindi heka sh.ngapi,kupalilia heka mahindi sh. ngapi. Kuchba mashimo ya parachichi sh ngapi?
 
tarime mnafika
eka ya mahindi kupalilia shilingi ngapi
na ya mpunga je
 
Je chakula, turubai mnajitegemea.


Vifaa tunajitegemea! Chakula kwetu pia ila bei tpfauti chakula kikiwa kwetu! Japo hatuna utaratibu wa kulishwa tunanunua wenyewe. Tunapanga bei na chakula kikiwemo
 
Kuna Nyuzi unaweza pitia zikakufumbua macho aise.


Mkuu jambo la muhimu jitahidini sana kuimarisha umoja wenu na uaminifu kwa wateja wenu, mtafika mbali sana.

Bila kusahau suala la ubunifu katika shughuli zenu.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…