Habari! Samahani nilikuwa sijibu maswali sababu ya Kuwa sehemu isiyo na network.
(1) kikundi chetu kipo njombe,mbeya,songwe na iringa. Tunafanya kazi zote za shambani.
Bei jamani zinategemea na kazi yenyewe ipoje. Kunabaadhi ya kazi kuelewana bei mpaka tuione lakini kurahisha zaidi, kama unakazi unatuambia kazi yako ni kazi gani afu tunakuambia bei, lkn kama zile kazi zinazotegemea mazingira mfano kupalilia, kufyeka, au kulima inategemea jee poli lipoje au ardhi ya Mkulima ipoje,. Ukiwa na kazi unaisema na kutaja bei mnazotumia huko uliko wewe,, Mimi nafanya tafiti fasta tu afu tunakubaliana.
Hii inarahisha maana kuna kazi hatujawahifanya mfano kukusanya korosho lazima utuambie na bei yako wewe tukihakiki tunafanya. Ila kujibu zote huku jf ni ngumu.
(2) pia tunasafiri mikoa mingine kukiwa na kazi, japo sharti lazima kazi yenyewe iwe kubwa kidg ili tusipate hasara ya nauli, mfano hatuwez kutoka iringa kwenda Tanga kufanya kazi ya heka mbili au tatu hapo hapana jamani angalau basi hekari 50-----. Shida hapa hatujatanuka nchi nzima kusema tutatumia vijana Wa Karbu, ikiwa eneo dogo na upo mbali na tulipo tafuta watu wa jirani kupunguza gharama.
(3) tunasimamia pia mashamba ya wawekezaji walio mbali na miradi yao kwa mkataba maalumu. Yaani hapa lazima kuwe na maandishi ya makabiziano ya mradi na majukumu.
Pia hapa ushauri unatolewa kwa mkulima bureeee, maana tuna wataalam kutoka olivado na Tanzania horticulture association (TAHA), makampuni haya yanamatawi yao huku kusini
(4) malipo ya kazi hupitia, bank tuna akaunt NMB, tigopesa,mpesa na halopesa au keshi yote sawa.
Mawasiliano;
Email;
wilsonmwamakalapya@gmail.com
What's up: 0767361063
Simu- 0767361063/ 0624227376
NB: NI RAHISI ZAIDI UKITUMA SMS YAKAWAIDA NAMIMI NITAKUTAFUTA, HATA KAMA SIPATIKANI WE TUMA NTAKUTAFUTA MDA MWINGI NIPO SHAMBANI. AU UKIULIZA SWALI HUKU JF BASI VUMULIA KIDG MAANA KUJIBU HARAKA NGUMU SABABU NETWORK.
AHSANTEN.