wilson nisha
Member
- Mar 13, 2020
- 27
- 21
- Thread starter
- #41
Nafanya kazi na watu wengi pia, huwa sikatai kazi, niliweka wazi nafanya kazi kwa makubaliano yenye tija, kwa mfano Kuna mtu mwingine alitaka niende pwani na vijana wakati kazi ni ya laki nne tu na nitumie cost zangu, kumbuka nataka kazi lkn sio ya hasara, kama upo mbali na nilipo na una eneo dogo bora utumie wenyeji. Pia Kuna wakat nakuwa na order za kazi hasa kipindi Cha masika hivyo nikikataa kazi yako usinilaumu. Kuwa mwelewaBoss usitumie hasira, Kuna mda natingwa. Nakumbuka ulisema una heka moja. Kiukweli siwezi kusafiri kwaajili ya heka moja iliyo umbali. Nafanya kazi na vijana ambao wanategemea faida, usilazimishe nifanye kazi yako Kama inanifanya nitumie gharama kubwa