Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

Nafanya kazi na watu wengi pia, huwa sikatai kazi, niliweka wazi nafanya kazi kwa makubaliano yenye tija, kwa mfano Kuna mtu mwingine alitaka niende pwani na vijana wakati kazi ni ya laki nne tu na nitumie cost zangu, kumbuka nataka kazi lkn sio ya hasara, kama upo mbali na nilipo na una eneo dogo bora utumie wenyeji. Pia Kuna wakat nakuwa na order za kazi hasa kipindi Cha masika hivyo nikikataa kazi yako usinilaumu. Kuwa mwelewa
 
Tanga handeni unafanya, heka 7 kuandaa
 
Tuelezee mkuu hali ilikuwaje?
Ana miadi ya kiswahili na hana mipango thabiti ya ufanyaji kazi wala hana timu ya kutosha.
Nilimpa promise mapema sana kuwa nina heka 1.5 aniweke kwenye ratiba, matokeo yake akanipiga kiswahili hakukrta timu take, mpaka nikalazimika kutafuta wenyeji walime mda ulienda sana wakalima hivyo.
Akibisha naweka meseji zake hapa za ahadi ya kuniletea vibarua.
Aliniudhi sana, kwa nini anatumia hili jikwaa wakati hana uwezo !!!
 
Ulipo leta tangazo hukuweka mashart. Basi weka mashart kuwa hupokei chini ya heka kumi.
Hata wa njombe ulituzingua, sema huna timu ya kutosha malafyale.

Kama umeoa mbena kakufundisha kunywa, ugimbi uwache ndugu yangu(natania).
Ungekuwa muaminifu wa ahadi ningekupa kazi ya heka 10 huko mikongo ulipokuwepo mwaka jana, wa heka moja leo kesho ana heka ishirini, usidharau kazi.
 
Mambo Ndo haya tena jamani?!

Haya sawa
 
Ok sawa, nadhani Kila kitu kina changamoto, nahii pia ni miongoni. Ukweli Kuna kazi nashindwa kufanya ingawa zilizo nyingi znafanyika. Yote ni kutokana na 7bu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…