Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakufuru mkuu, anaepaswa kusujudiwa ni M/mungu pekee!Mungu akatende ikawe hivyo mkuu.. Nitamsujudia yeye na Mungu wangu maisha yangu yote
Wenzio watu na vipato vyao na vyeo vyao na wana madaraka lakini wanasujudu kaburi la kichaa mmoja huko chato.Unakufuru mkuu, anaepaswa kusujudiwa ni M/mungu pekee!
mkuu unaweza uka share na mm nami pia ni muhitajiUngekuwa DSM kuna mchongo namuona dogo anatembea nao, ningeweza ku share nawe.