Natafuta kazi, nimemaliza sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Natafuta kazi, nimemaliza sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Sasa wewe
Hello naitwa agnes nimemaliza sheria chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi 0695703354
Sasa wewe ni Agnes au Jennifer?
Namba yako imesajiliwa kama Jennifer Ng'wanang'walu..
Pia, kuna uzi wako mwingine unatumia jina la Jeniffer unataka nafasi ya kuwa mwanamitindo..

Wtf you want sweetheart?
 
Agnes mahali unaweza vunjwa moyo ukajiona mnyonge ni hapa.

Naomba Mungu akung'azie mwanga wake upate ajira the soonest possible.
 
Nilkua nikupe kazi ila Dp yako ya whatsup imeni kimbiza unaacha nyonyo njee taku kula ofisini
 
Kama taifa tujiulize tumefikaje huku?
Shida ilianza na migomo ya walimu 1993-97 ,ikafuata na Fix fix na zigzag za Waziri Mungai, kisha kuanza kwa shule za msingi na chekechea za private, kwani huko ndio msingi wa uandishi ulipoanzia
 
Hello naitwa agnes nimemaliza sheria chuo kikuu cha dar es salaam natafuta kazi 0695703354
Hongera sana Aggy kwa kuhitimu masomo


Muhimu wakati huu uko nyumbani,Tafadhari usiache kutushirikisha hapa jukwaani mambo ambayo yataendelea kuwa msaada wa kisheria kwa sie ambao hatujasoma masomo yako.

Kupitia mafunzo yako mfano kama taratibu za kuzingatia kisheria wakati wa manunuzi ya shamba ,au kiwanja ,Uchambuzi wa mikataba ya ajira,Kanuni na sheria za mawasiliano ya mtandaoni nk.

Naamini ukifundisha utaweza kujitengenezea nafasi nzuri ya kutafutwa kwa ushauri wa ziada na wale watakaohtaji msaada kwako.

Usiache kuanza na kataa lolote lile kukukatisha tamaa.

Mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom