Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

I am Winfrida Fyula, holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.

For further information, please contact me
Duh umejilipua, ila usingeweka mawasiliano hadharani namna hii.

Kuna mabaharia humu wataitumia hii cv yako kutafuta mengine?

Ila Kila na heri mungu akufanyie wepesi, upate pakujishikizia maana Kwa kauli ya mshahara wowte hi yakijasiri saana.

Liwalo na liweeeee
 
Na wewe unatakiwa pia ufute hayo maelezo yake ili kupoteza ushahidi. Namba bado umeishikilia.
 
😄🤣🤣🤣🤣😄😂😂😁😁😂😂😂😂😂😂
Na wewe unatakiwa pia ufute hayo maelezo yake ili kupoteza ushahidi. Namba bado umeishikilia.
🤣🤣😂😂😂🤣😂😁😁😂😂😂😄😄😁
 
I am Winfrida Fyula, holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
Kwanini usijichange utumie ujuzi ULIO upata kwenye hiyo course yako ya RANGE MANAGEMENT (AFISA MALISHO YA MIFUGO)

ANZA PROJECT ZAKO ZA KUFUGA MFANO KUKU, MBUZI, BATA NA SAMAKI KUBALI KUANZIA CHINI MDOGO MDOGO UTAFIKA MBALI IN 5 TO 10 YEARS.
 
Mwana SUASO, range kwa kilugha chetu ni yale maeneo yenye Mbuga, eneo ambalo ni pori lenye miiba, vichaka vichache na majani.

Sasa ukirudi katika uhakisia umesomea kumage vitu kama hivyoo! Lazima neno mshahara wowote litumike. Home ukimaliza chuo wanajua mkombozi (utakomboa). Sasa waje washtuke kuwa kumbe ww ni mzigo, hadi sisimizi atakutambaa usoni kwa dharau
 
Asante boss tatizo ni hivyo vyanzo vya mifugo watu wengi Sana wanawashauri vijana kuanza kitu fulan ila kiuhalisia anatakiwa atafute kidogo nipo aanze
 
Asante boss tatizo ni hivyo vyanzo vya mifugo watu wengi Sana wanawashauri vijana kuanza kitu fulan ila kiuhalisia anatakiwa atafute kidogo nipo aan

Bas milioni mpe kazi boss
Kuna Mwalimu Alisema usiwashauri Sana watu Wana Mipango Yao
Mind your mouth. Mshahara wowote ?
Kuna usemi unasema usiwashauri Sana watu Wana Mipango Yao so kuliko kuonyesha uwezo wa kushauri ni vyema kutatua kwanza
 
Asante boss tatizo ni hivyo vyanzo vya mifugo watu wengi Sana wanawashauri vijana kuanza kitu fulan ila kiuhalisia anatakiwa atafute kidogo nipo aanze
Nimwambie kitu Mimi sio motivation speaker 🗣️ Ila huwa na positive energy naamini huitaji pesa nyingi kuanzisha kitu.

Tafuta source of finance kwa sisi TULIO soma soma FINANCIAL MANAGEMENT tunaelewa jinsi gani ya ku RAISE FUNDS. Nikiwa na maana source za ku finance bussines.

Ujue mtu Kama ASKOFU GWAJIMA katoka kijijini kaja dar es salaam akiwa na picha kubwa kichwani siku moja awe na MEGA CHURCH na kweli kalifanikisha hilo.

Nisaidie kitu UPO MKOA GANI ? Una amini kwenye kuanzia Chini? Unaamini kwenye kujiajiri au kuajiriwa?
 
Mwana SUASO, range kwa kilugha chetu ni yale maeneo yenye Mbuga, eneo ambalo ni pori lenye miiba, vichaka vichache na majani.

Sasa ukirudi katika uhakisia umesomea kumage vitu kama hivyoo! Lazima neno mshahara wowote litumike. Home ukimaliza chuo wanajua mkombozi (utakomboa). Sasa waje washtuke kuwa kumbe ww ni mzigo, hadi sisimizi atakutambaa usoni kwa dharau
Tatizo siasa nyingi tumepoteza muda wako kujadili tatizo mbadala wa kuleta suluhisho
 
Back
Top Bottom