Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Aisee!!!Hii kauli ilitakiwa ije inbox kwamba kazi hii hapa usirudie kusema mshahara wowote ningeona kweli Una maanisha kimsingi anawashwa anayewashwa asiye washa hawezi elewa kama panawasha
Aisee!!!Hii kauli ilitakiwa ije inbox kwamba kazi hii hapa usirudie kusema mshahara wowote ningeona kweli Una maanisha kimsingi anawashwa anayewashwa asiye washa hawezi elewa kama panawasha
Hata mkataa majani wa nyumban kwetu anakula na Kunywa Laki halipwi ko Siwez mtumbukiza mtu huko ukiweza lisha mwenyew jilipe Laki mojaKwahiyo mi nikiwa na ng'ombe zangu naweza kukuajiri kulisha hii mifugo yangu Salary laki 1 kwa mwezi, usafi wa banda na malisho daily utaweza?
Vipi haujasomea Harrier, Vx V8, Hilux na Alphard Management? Just joking. Kila la heri!
Hizo Naye alitaka kujoini shida ni pesa ya usafiri kwa sasaMwanasuaso tafuta 8m uende kwenye zile program za Germany na Denmark zinaela.
Mwenyewe sijawahi kusikiaKozi nyingine zinashangaza Range managemnet ndio nini
So what actually do you want? May be need more clarification on Range ManagementHata mkataa majani wa nyumban kwetu anakula na Kunywa Laki halipwi ko Siwez mtumbukiza mtu huko ukiweza lisha mwenyew jilipe Laki moja
Kwanini usijichange utumie ujuzi ULIO upata kwenye hiyo course yako ya RANGE MANAGEMENT (AFISA MALISHO YA MIFUGO)
ANZA PROJECT ZAKO ZA KUFUGA MFANO KUKU, MBUZI, BATA NA SAMAKI KUBALI KUANZIA CHINI MDOGO MDOGO UTAFIKA MBALI IN 5 TO 10 YEARS.
Mpe kazi mkuu ndio mambo yake bwana malisho ( afisa malisho)Mkuu unataka kuniambia huyu kwa alicho somea anaweza kuniandalia formula ya chakula cha kuku (layers)?
hahahahahaKama unaweza kuendesha range nicheki pm.