Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single mother ksishapata kazi, analeta saa hizi. Asante kwa kujali...Huu uzi kwa nini usifanywe kuwa uzi maalum kwa single mothers wanaotafuta kazi
ili tujue we ndo umempa kaziKaribu sana, Mungu akutangulie kwenye kazi mpya. Mengi tumeongea, kikubwa ni kuchapa kazi tu. Tuwaombee ndugu zetu wa JF wakupe support, pale inapowezekana.
ili tujue we ndo umempa kazi
namimi naomba kakazi bas uko wapiNaam...
namimi naomba kakazi bas uko wapi
Wee Caro danzi weee........Karibu sana, Mungu akutangulie kwenye kazi mpya. Mengi tumeongea, kikubwa ni kuchapa kazi tu. Tuwaombee ndugu zetu wa JF wakupe support, pale inapowezekana.
Wee Caro danzi weee........
Hahah Antonio AdolfoNdio mie, umebatizwa? weka ubini wa zamani nikujue.
Una tako kubwa?Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32
Naishi Dar es salaam
Nimemaliza form six
Nimesomea Air Ticketing
Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation
Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel.
Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba, nina mtoto mdogo na ndugu wanaonitegemea nahitaji kazi yoyote ya kuniingizia kipato.
Nashukuru sana.
Acha kejeli kwenye mambo ya msingi....mbwa wewe!...Una tako kubwa?
Watu design yako mnajionaga mmemaliza kila kitu ktk Dunia hii, mtu kaleta hitaji lake unamuuliza swali la dhiakaUna tako kubwa?