Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

Huu uzi kwa nini usifanywe kuwa uzi maalum kwa single mothers wanaotafuta kazi
 
Wanawake wachache sana,wanaweza kupigana kampani.
We ni watofauti hongera kwa kumtafutia shost kazi
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32
Naishi Dar es salaam
Nimemaliza form six
Nimesomea Air Ticketing
Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation
Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel.

Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba, nina mtoto mdogo na ndugu wanaonitegemea nahitaji kazi yoyote ya kuniingizia kipato.

Nashukuru sana.
Una tako kubwa?
 
Back
Top Bottom