Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

Asalam WanaJF.

Naombeni mwenye connection ya kazi yoyote Ile ya halali, kwa kiwango chochote Cha ujira wenye kuhimili Maisha ya KITANZANIA.

Nipo tayari Kufanya kazi mahala popote Tanzania.
Umri wangu: miaka 25
Elimu : Shahada ( hii nimeweka endapo itahitajika CV)
Makazi: Dar es salaam

Natanguliza shukrani kwenu ndugu zangu.
 
Asalam WanaJF,

Naombeni mwenye connection ya kazi yoyote Ile ya halali, kwa kiwango chochote Cha ujira wenye kuhimili Maisha ya KITANZANIA.

Nipo tayari kufanya kazi mahala popote Tanzania.

Umri wangu: Miaka 25

Elimu: Shahada ( hii nimeweka endapo itahitajika CV)

Ipo kazi
Njoo makumbusho kwenye interview

Kazi ni kuuzaa mayai yaliyochemshwa

UtaanZA na mayai 24
Mshahara wako: tutagawana kitakachopatikana pass kwa pasu
 
Asalam WanaJF,

Naombeni mwenye connection ya kazi yoyote Ile ya halali, kwa kiwango chochote Cha ujira wenye kuhimili Maisha ya KITANZANIA.

Nipo tayari kufanya kazi mahala popote Tanzania.

Umri wangu: Miaka 25

Elimu: Shahada ( hii nimeweka endapo itahitajika CV)

Makazi: Dar es salaam

Natanguliza shukrani kwenu ndugu zangu.

Degree ya nn? Ni vizuri kuongeza maelezo yako ili ueleweke vizuri na uongeze wigo wa kusaidika!
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.

Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.

Asante.

Dar es salaam (Makazi)
 
Duh! Kumbe ndo fresh from Uni.

Basi, hapa anatakiwa mzoefu, at least 24months of working experience..

So sorry son.
 
Back
Top Bottom