Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

Wakuu bado naomba msaada wa kazi yoyote kutoka kwenu, hali yangu siyo nzuriii
 
Naomba msaada ndugu zangu hata wa kibarua chochote kwa siku nipate fedha ya kula
 
Mkuu samahani kwa haya maswali.
Je kwa kupitia hiyo course ya computer science ndio kuna mgawanyiko wa software na programing?
Na katika mgawanyiko huo ni wapi naweza kujifunza kuhack website mbalimbali?
 
hapo lazima usome web development especially kwenye security issue. pia usome programming kama php , phyton zinazotumika kwenye web development ,pia uijue http protocol vizuri na inavyofanya kazi
 
hapo lazima usome web development especially kwenye security issue. pia usome programming kama php , phyton zinazotumika kwenye web development ,pia uijue http protocol vizuri na inavyofanya kazi
Shukran kwa ufafanuzi
 
Ungekuwa karibu na kituo changu hapa mkoani ningekuchukua!!! Tarehe 13 ninapokea wanafunzi wa pre form one!! Ninatafuta mwalimu
 
Kama swala ni computer au Laptop kwa nini utafute kazi? Si waone watu wa Bank wakupe mkopo wa kununua Equipment ya kazi ili uendelee mbele? Sijajua nini unahitaji. Focus kwenye kitu unaxho kitaka hasa ili uganikiwe. Naona unaruka ruka tu bila kueleza hasa nini ni kitu cha msingi unaxho kitaka.
 
Idea nzuri sana....narekebisha tu hapo kwenye kumtanguliza Mungu na sio mungu kwa herufi ndogo
 
ushauri makini sanaa📌📌📌
 
Naona mzee unatafut umaaruf kupitia mm au sio!? Muelekez halmashaur zipi hizo ili akikosa kuon dall UMPELEKE
 
Comment yako inasikitisha sana!! Unaishi dunia gani ww?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…