Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Ok okMpe connection..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok okMpe connection..
Ni kweli kuna kamsoto ila kila mtu ana lucky yake.Hujakosea kabisa, mbona wenge lote litamuisha [emoji3][emoji3]
Yah inabidi awe mpole tu wala asipanickNi kweli kuna kamsoto ila kila mtu ana lucky yake.
Mbona mapema mno? Hata madogo bado wanakuita “Kaka” tayari umeshaanza kulalamika? Subiri kidogo uanze kugombania nao vitumbua au waanze kumtongoza demu wako huku wakiwmambia huna mchongo na ulipo Mshua amepanga kukupeleka kijijini ukakae na bibi.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Ubarikiwe mkuuNISIKILIZE KAKA AKO HAPA
•Achana na mambo ya kuwaza ajira kwanza.
•Kazi zipo za kutosha mtaani ila zinahitaji uweke aibu pembeni.
•Kitaa kina matatizo kibao angalia unaloweza kulitatua kwa hiyo 300k waja wakupe pesa.
UKIONA HUELEWI KABISA NJOO UKU KUSINI NIKUPE KAZI YA KUPAKIA MBAO NA KUHESABU UKU UNAJIFUNZA HII BUSINESS.
Kabisa atulie angalie wap anaweza force life liende.Yah inabidi awe mpole tu wala asipanick
Anza biashara ya umachinga.. Fungua duka uza herenj, chupi, boksa, saa nenda chimbo chukua mzigo kwa hiyo hela anza nayo faida ni nzuriHabarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
😂😂😂
😀😀 Punguza ukali mkuu.Mbona mapema mno? Hata madogo bado wanakuita “Kaka” tayari umeshaanza kulalamika? Subiri kidogo uanze kugombania nao vitumbua au waanze kukutongoza demu wako huku wakiwaambia huna mchongo na ulipo Mshua amepanga kukupeleka kijijini ukakae na bibi.
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Mkuu iyo biashara mtaji wa chini kuanzia inaweza kua sh ngapi?NISIKILIZE KAKA AKO HAPA
•Achana na mambo ya kuwaza ajira kwanza.
•Kazi zipo za kutosha mtaani ila zinahitaji uweke aibu pembeni.
•Kitaa kina matatizo kibao angalia unaloweza kulitatua kwa hiyo 300k waja wakupe pesa.
UKIONA HUELEWI KABISA NJOO UKU KUSINI NIKUPE KAZI YA KUPAKIA MBAO NA KUHESABU UKU UNAJIFUNZA HII BUSINESS.
Daah! hii moment unayopitia ni ngumu ila haina jinsi jaribu uangalie fursa iliopo hapo ulipo na uifanyie kazi maana "unabarikiwa mkono ufanyao kazi"Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏