Natafuta kazi ya Houseboy

Natafuta kazi ya Houseboy

Mshahara laki 1 jua utatumikishwa sana maana kazi za nyumbani huwa elf 40 sasa laki lazima uwe na hizo za nyumbani jumlisha na zingine
 
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote.
Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).

Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu.

Hivyo naomba yoyote aliye tayari kunishika mkono anicheki PM

Asante
Kuna kampunicinaitwa UPAMI inashughulika na ajira na vibarua viwandani kwa siku 8000 uko tayali

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom