Natafuta kazi ya Houseboy

Natafuta kazi ya Houseboy

We jamaa bana si mnyenyekevu kabisa katika uombaji wako wa kazi naona umejipangia ujira wako na majukumu yako kabisa umesahau kuna majukumu ya kufua nguo walizonyea watoto wa boss
 
Aisee we mwenzangu mbunifu uhouse boy inaweza kuwa rahisi kupata hebu nichakarikie namimi huko. Yaudarali nitakutoa maana zachuo nimekosa kabisa huu mwaka wa7.
 
Aisee we mwenzangu mbunifu uhouse boy inaweza kuwa rahisi kupata hebu nichakarikie namimi huko. Yaudarali nitakutoa maana zachuo nimekosa kabisa huu mwaka wa7.
Mbakaji huwezi pata kazi...
Mpaka uache hii tabia
 
Hahahaaa, jina sichochote katika kazi kikubwa ni performance asum we mwenyewe umesoma naunatafuta kazi so unaulizwa jina unasema POOR BRAIN wakifuata jina utapata kazi kweli?
 
Hahahaaa, jina sichochote katika kazi kikubwa ni performance asum we mwenyewe umesoma naunatafuta kazi so unaulizwa jina unasema POOR BRAIN wakifuata jina utapata kazi kweli?
Tofautisha poor brain na mbakaji hapo...
Kweli hivi unapewa kazi unazani bosi Hatokua na wasi wasi kwa familia yake pale nyumbani..
Ukiwabaka je ?
 
Na mimi naombeni connection wazee hasa za viwandani 0758291996
 
Moshi ....pambana sana hakuna kukata tamaa.....
 
Back
Top Bottom